INAUZWA Vanilla Fruits kutoka Morogoro inauzwa

INAUZWA Vanilla Fruits kutoka Morogoro inauzwa

kwadilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
756
Reaction score
898
Habari wana jukwaa,

Hii ni Mara ya Tatu naleta threads yangu ya TANGAZO la biashara
Cha kushangaza kila nikiweka TANGAZO wanafuta
Naomba kujua
Hii ni biashara haramu?
Nini nimekiuka kwenye hili?
Je Kuna maagizo kutoka juu?
Hii ni vanilla fruits (flavour) kutoka morogoro, matombo
Bei: tzs 950k ( 1kg)
Zipo kilo zaidi ya 40+
Mawasiliano: 0785 857564

Screenshot_2021-08-29-14-25-50.jpg
IMG-20210829-WA0011.jpg
IMG-20210829-WA0012.jpg
IMG-20210829-WA0009.jpg
IMG-20210829-WA0010.jpg
 
Sasa hivi bukoba wakulima wengi wa vanilla ikifika wakati wa mavuno ni shida maana wezi wanakuja na silaha za moto.
Ni very profitable farmingg but ina changamoto sana.
Ukivuna unashukuru mungu.
 
Kuna jamaa kutoka bukoba alikuja nayo kazini kwetu Miche yake ilikuwa ya kijan akatupigia Sana promo tatizo Bei tulishindwana kulima tu greenhouse yake million 80
Kwani vanilla Lazima iwe kwenye greenhouse??
Bukoba ndio nyumbani na vanilla zinalimwa kwenye mashamba ya migomba.
Pia kuhusu Bei.........Ina ukakasi. Bukoba, vanilla inauzwa mpaka 50,000 kilo.
Hiyo hapo rando la Vanilla kwenye migomba. Siyo Lazima ulime kwenye greenhouse Ila vanilla unahitaji kivuli.
IMG_20210609_111023_7.jpg
 
Kwenye kilimo kuna matapeli sana. unapewa maneno ya motivation unaingi mzigoni ukifika kwenye soko ndo utamu wake utauona. Kuna kampuni ipo njombe inajitangaza inalima vanila wanakwambia wewe nunua tu shamba wao wanakusimamia mpaka kuvuna wewe ukiwa umekaa Dar unakula bata na watakuja kukununua wao kg 1 sh milion 1. Maisha ya kilimo sio rahisi hivyo
 
Kuna jamaa kutoka bukoba alikuja nayo kazini kwetu Miche yake ilikuwa ya kijan akatupigia Sana promo tatizo Bei tulishindwana kulima tu greenhouse yake million 80
Hili ni zao ambalo ukiibiwa shambani unaweza kuwa chizi. Fikiria baada ya kuchoma milioni 80 waje watu wavune ukute green house safi kabisa.
 
Back
Top Bottom