Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Sky Eclat Ukiibiwa Unaenda kwa Mshana JrHili ni zao ambalo ukiibiwa shambani unaweza kuwa chizi. Fikiria baada ya kuchoma milioni 80 waje watu wavune ukute green house safi kabisa.
Kuna siku moja tupo kilabuni tunashusha komoni na wazee, wakawa wanamwongelea mganga mmoja. Wakasema ukienda kwake hulipi chochote Ila mwizi ndiye atalipia vyote.