Habari wana jukwaa
Hii ni Mara ya Tatu naleta threads yangu ya TANGAZO la biashara
Cha kushangaza kila nikiweka TANGAZO wanafuta...
Sasa hivi bukoba wakulima wengi wa vanilla ikifika wakati wa mavuno ni shida maana wezi wanakuja na silaha za moto.Tanzania Ni Tajiri Ndugu Zangu
Kilogram 40 X Tshs 1,000,000/= = 40,000,000/=
Njoo Mjini Na Huo Mzigo
Vanilla Inatakiwa Ilindwe Na Police Haraka Sana
Kabisa. Serikali isipoingilia kati hii fursa itakua ngum watu kuwekeza maana kuna watu wanatumia mpaka walinzi wenye silaha za moto lakini bado wanaibiwa.Ni very profitable farmingg but ina changamoto sana.
Ukivuna unashukuru mungu.
Kwani vanilla Lazima iwe kwenye greenhouse??Kuna jamaa kutoka bukoba alikuja nayo kazini kwetu Miche yake ilikuwa ya kijan akatupigia Sana promo tatizo Bei tulishindwana kulima tu greenhouse yake million 80
Hili ni zao ambalo ukiibiwa shambani unaweza kuwa chizi. Fikiria baada ya kuchoma milioni 80 waje watu wavune ukute green house safi kabisa.Kuna jamaa kutoka bukoba alikuja nayo kazini kwetu Miche yake ilikuwa ya kijan akatupigia Sana promo tatizo Bei tulishindwana kulima tu greenhouse yake million 80