Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Sky Eclat Ukiibiwa Unaenda kwa Mshana JrHili ni zao ambalo ukiibiwa shambani unaweza kuwa chizi. Fikiria baada ya kuchoma milioni 80 waje watu wavune ukute green house safi kabisa.
Haya matangazo ya kampuni huwa nayasikia, kisha najisemea hiiiiiiiiiiiiiiKwenye kilimo kuna matapeli sana. unapewa maneno ya motivation unaingi mzigoni ukifika kwenye soko ndo utamu wake utauona. Kuna kampuni ipo njombe inajitangaza inalima vanila wanakwambia wewe nunua tu shamba wao wanakusimamia mpaka kuvuna wewe ukiwa umekaa Dar unakula bata na watakuja kukununua wao kg 1 sh milion 1. Maisha ya kilimo sio rahisi hivyo
Unajipanga kwa ajili ya mwakani maana likishaanza kuzaa ni endelevu. Ila hili ndio zao ambalo matunda yakikomaa kama una mzigo mkubwa inabidi uweke walinzi wenye silaha za moto mpaka utakapovona.Hili ni zao ambalo ukiibiwa shambani unaweza kuwa chizi. Fikiria baada ya kuchoma milioni 80 waje watu wavune ukute green house safi kabisa.
Waziri Wa Ma~Police Aione Hii Atoe Ulinzi HarakaSasa hivi bukoba wakulima wengi wa vanilla ikifika wakati wa mavuno ni shida maana wezi wanakuja na silaha za moto.