Vanilla ni fursa Njombe?

Miaka ya nyuma sana
 
Hawa jamaa wa Vanila huko njombe wameletwa na viongozi wa serikali au? Hii ni kwa sababu, matangazo yao yanatangazwa hadi kwenye TV kubwa kama vile ITV! Ina maana viongozi kuanzia ngazi ya wilaya hadi mkoa hawajawatembelea kuhakikisha raia wao hawapigwi?

Baadae tutaanza kuwalaumu watakaopigwa kwamba ni wajinga. Kwani kazi ya viongozi si ndiyo kuwalinda wananchi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
nipo Njombe now mkuu na hao watu niliwatembelea kutafuta ubuyu tu ila kwa maelezo yao na nikaongeza na yangu siwezi kusita kusema hao ni MR KUKU WATARAJIWA MKUU kama unataka kuwekeza Njombe wee njoo ulime parachichi tu huku kwingine ni kuzugana tu.
Nyie wore ni Nonsense mnataka mafanikio ya haraka!! Unamkatisha mwenzako ,you have research no Right to speak,wanavyosema kilo moja ya Vanilla ni tsh 1m ni sahihi kagoogle soko la vanilla Duniani utapewa bei,na soko kuu la vanilla linakuwa Zanzibar kwa East Africa, taarifa sahihi ni kwamba kilo 6 sita za vanilla mbichi ni sawa na kilo moja ya vanilla iliyokauka ambayo uuzwa tsh milioni moja,kilo ya vanilla mbichi ndo hizo tsh elfu 70 mpaki laki moja msichanganye mada.Hivyo ukivuna utaamua uanike uuze kavu au uza hizo mbichi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Vanilla kuuzwa kg 1 milioni Ni utapeli..
Bukoba tumelima vanaila miaka mingi Sana..Bei kwa kilo sio zaidi ya elfu 60..
Jifunze utafiti, kilo moja ya vanilla mbichi huwezi uza kwa million moja kausha kilo 6-7 uuze kavu utapewa hiyo millioni,peleka Zanzibar au watafute Azam.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Safi kabisa tuendelee kuelimisha!!

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…