Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Niko kivova ntakucheki kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kivova ntakucheki kesho
Miaka ya nyuma sanaHiyo bei ya elfu 60 ni ya mwaka gani? Wenzio msimu wa mwaka huu tumeuza kwa elfu 30 na waliochelewa waliuza kwa elfu 25. Wengine waliuza kwa mkopo mpaka leo bado wanadai, hawajalipwa. Au wewe mwenzangu upo Kagera ipi?[emoji2][emoji2]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nyie wore ni Nonsense mnataka mafanikio ya haraka!! Unamkatisha mwenzako ,you have research no Right to speak,wanavyosema kilo moja ya Vanilla ni tsh 1m ni sahihi kagoogle soko la vanilla Duniani utapewa bei,na soko kuu la vanilla linakuwa Zanzibar kwa East Africa, taarifa sahihi ni kwamba kilo 6 sita za vanilla mbichi ni sawa na kilo moja ya vanilla iliyokauka ambayo uuzwa tsh milioni moja,kilo ya vanilla mbichi ndo hizo tsh elfu 70 mpaki laki moja msichanganye mada.Hivyo ukivuna utaamua uanike uuze kavu au uza hizo mbichi.nipo Njombe now mkuu na hao watu niliwatembelea kutafuta ubuyu tu ila kwa maelezo yao na nikaongeza na yangu siwezi kusita kusema hao ni MR KUKU WATARAJIWA MKUU kama unataka kuwekeza Njombe wee njoo ulime parachichi tu huku kwingine ni kuzugana tu.
Jifunze utafiti, kilo moja ya vanilla mbichi huwezi uza kwa million moja kausha kilo 6-7 uuze kavu utapewa hiyo millioni,peleka Zanzibar au watafute Azam.Vanilla kuuzwa kg 1 milioni Ni utapeli..
Bukoba tumelima vanaila miaka mingi Sana..Bei kwa kilo sio zaidi ya elfu 60..
Safi kabisa tuendelee kuelimisha!!Vanila 1mil ni bei ya 2018. Vanilla iliyokauka.
Na ni bei ambayo haijawahi jirudia tena.
Ukiambiwa Vanilla Kagera ni 60,000/= basi zidisha kwa 10, unapata 600,000/=. Hiyo ndio inakuwa bei ya Vanilla iliyokaushwa.
Kwa ujumla Vanilla iliyokaushwa ni mara 10 ya bei ya Vanilla mbichi.
Njombe Vanilla haitokaa istawi itoe matokeo kama wanavyotaka Vanilla Village. Maana Vanilla haitaki baridi kali kama ya Njombe.
Watu wa Morogoro, Pwani, n.k wana fursa ya kulima Vanilla ya kutosha na sio Njombe.