Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inaonekana huvuki miaka 22 ya umriJamani naomba kujua kati ya vans na all star ipi iko njema especially kwa kuvalia modo (crazy) Na je ntajuaje kuwa ni orignal
Ukipata all star original hutaijutia, all star og huwa imezungushiwa thin belt yenye material ya tyre ambayo huifanya soli isikatike. Nilinunuaga pair moja nikadumu nayo sana mpaka ikaanza kunibana ndo nikagawa , kitambaa chake bado kama raba mpya haipauki kizembe na soli yake pia haijikati pembeniJamani naomba kujua kati ya vans na all star ipi iko njema especially kwa kuvalia modo (crazy) Na je ntajuaje kuwa ni orignal
Wewe ndo utakua na umri huo, kujifanya wazee wakati hata mnachokitoa na uzee wenu hapa jf ni sifuri!Yaani inaonekana huvuki miaka 22 ya umri
Huu uongo, all star itakuwa imekupita wewe sio wote!All star imepitwa na wakati kitu vans mzee
Kwa lengo lake la kuvalia modo bora all star maana nyingi zina soli fupi na flat ila hizi vans atakutana na zenye soli kubwa kama za msondo ngomaAll star ni bora ila vans ni bora zaidii
Unataka kubana mapaja ili iweje?Jamani naomba kujua kati ya vans na all star ipi iko njema especially kwa kuvalia modo (crazy) Na je ntajuaje kuwa ni orignal