Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR
Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga
Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa
Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa ndio wa mwisho kama amekuja na matokeo mkononi msahau upuuzi unabaki pale pale.
Sidhani itakuwa msaada sana kwetu. Kkunamarefawanatumwa.Fanya ufanyallo mbasi ishinde ama.Ngaya ishinde hata lwa penalty na hii n oda toka juu
Mwishooo nawatakia mema.Wale.Mnaoamini. Miujiza na var yetu maxho