alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 94
Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee