VAR jana kuiua Manchester city

VAR jana kuiua Manchester city

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
94
Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
 
Mkuu wamemfanyia fitina guardiola, hii game alikuwa kashapita

Wameona moto wa city, wakajua anaweza chukua ndoo
 
Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
Man city imeruhusu magoli matatu unamlaumu nani?
 
Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
Kwa akili zako walitumia filimbi kuangalia sio
 
Hii inaitwa Karma,maholi yoote ya offside mliyotupia kwnye ligi na vikombe vidogo,team zike ziliumia na kulalamika,sasa zamu yenu
 
Si ndo VAR iliyocoment ni offside... Hlo goal ni VAR ndo iliyolitema na sio Refa...hata hivyo kweli kulikuwa na offside
 
NINTCHDBPICT000483748196.jpg
images (6).jpeg
Screenshot_20190418-110559.png
 
Back
Top Bottom