alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 94
hapana, kwa ile ya jana ilikua na haja ya kujiridhisha kwa kweli....pale kuna utata or politics as i saidHahahaa! pole mkuu ila kumbuka Refa ana mawasiliano,so, sio rahisi kwa kila tukio kwenda kutizama VAR,
Tukutane next year panapo majaliwa.
Man city imeruhusu magoli matatu unamlaumu nani?Daaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
Sijui kama atakujibuMan city imeruhusu magoli matatu unamlaumu nani?
Teh teh teeeeeheSijui kama atakujibu
kufunga pale unapopata nafasi huo ndo mpira, ila kuhujumu kwa kukataa goal huo sio mpira ila ni fitinaMan city imeruhusu magoli matatu unamlaumu nani?
Dawa ni ku score clear goalkufunga pale unapopata nafasi huo ndo mpira, ila kuhujumu kwa kukataa goal huo sio mpira ila ni fitina
Kwa akili zako walitumia filimbi kuangalia sioDaaah aisee jana imeniuma sana, inshort nimeshindwa hata kulala sababu ya Manchester city. mimi ni shabiki mzuri sana wa hii timu ila nimeamini siasa zimeingia kwenye mpira, lile goal la mwisho jana halikua offside na kama ilikua ivo kwanini asingeenda kuangalia kwenye Video Assistance Referee?
Ila huu ni mpango wa UEFA na siasa zao ili tusikutane na Barcelona cus tumekua tishio kwao..........hii inauma asee
kufunga pale unapopata nafasi huo ndo mpira, ila kuhujumu kwa kukataa goal huo sio mpira ila ni fitina
bora ata wangetumia filimbi, wametumia fitnaKwa akili zako walitumia filimbi kuangalia sio