Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 319
- 511
penalt ya Aguero aliyokosa mechi ya kwanza ndiyo mzimu mkubwa kwa mancityAguero alikuwa Offside kabisa,halafu mkumbuke City waliruhusu kufungwa kwao kitu ambacho Spurs hawakukiruhusu. Mpira mahesabu.
Kabisa .Wangeipata hiyo kwa matokeo ya jana wangesonga. Kufunga ugenini walau goli moja ni mtaji na unaweza kusaidia kwenye situation kama hizo. Si unaona Spurs. Magoli ya ugenini yamewabeba.penalt ya Aguero aliyokosa mechi ya kwanza ndiyo mzimu mkubwa kwa mancity
ishu sio magoli, ishu ni fitina ambazo refer wametufanyiaKabisa .Wangeipata hiyo kwa matokeo ya jana wangesonga. Kufunga ugenini walau goli moja ni mtaji na unaweza kusaidia kwenye situation kama hizo. Si unaona Spurs. Magoli ya ugenini yamewabeba.
ndo nini sasa? unaona ndaliiiiiiloMwisho wa siku.
MAN CITY OUT.
ndo nini sasa? unaona ndaliiiiiilo
sawaaaaa wewe ndo una uhakika wa kuchukua UEFATimu za uingereza UEFA ni wasindikizaji
hahah haha atakosa bara na pwani., UEFA anakutana na Barca anakufa, huku EPL tunachukua....haha haha hahahahahahha wansemaga "PIGA MOYO KONDE". Saiv mkomae tu na EPL sema huko nako kuna Liverpool wa kupambana nao. . . huu mwaka haukawii kuwa "mwaka wa shetani" kwenu
BARCA kombe laosawaaaaa wewe ndo una uhakika wa kuchukua UEFA
kabisa brother apa umenenaMwenye ya ma - VAR sijui vipi, nayaona ni kama yamefanya marefa WAPUNGUZE UMAKINI..!!