VAR jana kuiua Manchester city

VAR jana kuiua Manchester city

hahahahha wansemaga "PIGA MOYO KONDE". Saiv mkomae tu na EPL sema huko nako kuna Liverpool wa kupambana nao. . . huu mwaka haukawii kuwa "mwaka wa shetani" kwenu
 
Aguero alikuwa Offside kabisa,halafu mkumbuke City waliruhusu kufungwa kwao kitu ambacho Spurs hawakukiruhusu. Mpira mahesabu.
penalt ya Aguero aliyokosa mechi ya kwanza ndiyo mzimu mkubwa kwa mancity
 
penalt ya Aguero aliyokosa mechi ya kwanza ndiyo mzimu mkubwa kwa mancity
Kabisa .Wangeipata hiyo kwa matokeo ya jana wangesonga. Kufunga ugenini walau goli moja ni mtaji na unaweza kusaidia kwenye situation kama hizo. Si unaona Spurs. Magoli ya ugenini yamewabeba.
 
Kabisa .Wangeipata hiyo kwa matokeo ya jana wangesonga. Kufunga ugenini walau goli moja ni mtaji na unaweza kusaidia kwenye situation kama hizo. Si unaona Spurs. Magoli ya ugenini yamewabeba.
ishu sio magoli, ishu ni fitina ambazo refer wametufanyia
 
Nilijikuta nawaonea huruma tu maana mpaka Guardiola koti aliliona zito. 😀😀

Mgange yajayo sasa.
 
hahahahha wansemaga "PIGA MOYO KONDE". Saiv mkomae tu na EPL sema huko nako kuna Liverpool wa kupambana nao. . . huu mwaka haukawii kuwa "mwaka wa shetani" kwenu
hahah haha atakosa bara na pwani., UEFA anakutana na Barca anakufa, huku EPL tunachukua....haha haha haha
 
Mwenye ya ma - VAR sijui vipi, nayaona ni kama yamefanya marefa WAPUNGUZE UMAKINI..!!
 
Mimi namuonea tu huruma guardiola...anajituma sana kwenye kazi yake lakini ndo hivyo tena mambo yanakua si mambo
 
Back
Top Bottom