VAR ni muhimu sana katika ligi yetu BONGO NBC. Simba na Yanga zinahujumu sana timu za chini

VAR ni muhimu sana katika ligi yetu BONGO NBC. Simba na Yanga zinahujumu sana timu za chini

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Waamuzi wana makosa mengi sana

Kuna muda unaweza hisi kuna maelekezo kutoka sehemu

Ligi yetu imekua makosa ya kibinadamu yamekuwa mengi sana, VAR ni muhimu
 
Ukiangalia hii penalty unataman kutukana tusi kubwa mbele za watoto.

Refa Mwanzo alionekana kama anaona Kona daah😂😂
 
Mkuu Wacha twende ivyo ivyo wakiweka mguu tunaweka mguu, wakibebwa tunabebwa tutaona mwisho wa msimu ni nani atabeba ndoo, kumbuka sio Kila mechi utabebwa bali Kuna mechi nyingine ubora utaamua
 
Mkuu ukiona mtu ameleta mada ya kukemea jambo fulani ambalo kimsingi ni baya na linakwamisha juhudi za kusogeza soka letu mbele inatakiwa sote tuwe na sauti moja.

Ushabiki wa aina hii sio mzuri.
Bahati mbaya ma refa wa aina hii unakuta keshokutwa anapewa mechi nyine ya Ligi kuu.
Makocha na wachezaji wanaumia Sana na vitendo hivi vya uonevu sema hawana jinsi ndio ajira Yao.
 
Mkuu ukiona mtu ameleta mada ya kukemea jambo fulani ambalo kimsingi ni baya na linakwamisha juhudi za kusogeza soka letu mbele inatakiwa sote tuwe na sauti moja.

Ushabiki wa aina hii sio mzuri.
Jambo gani baya sasa.? Wewe uone baya basi unataka kila mtu aseme baya?
 
Ukiangalia hii penalty unataman kutukana tusi kubwa mbele za watoto.

Refa Mwanzo alionekana kama anaona Kona daah😂😂
Usiwe na haraka kila mtu atafungwa na Simba🦁,zamu yako itafika tu.
 
Moja ya sababu ya kutoangalia ligi yetu ni hii ni mwaka sasa sijui kinaendelea nini zaidi ya kuona post hizi.

Ni baada ya kutambua kuwa timu tofaut ya Simba na Yanga kupata pointi tatu kwa hizo timu ni dhambi na kwa namna yoyote zitatafutiwa namna ya kupoteza alama.
 
issue ni Karia kaifungia VAR ana subiri kampeni za tff. aonekane kafanya kazi. pia katoa maelekezo simba ibebwe due to azam fc failure this season in caf

huyu mjinga akitoka uji kuona hizi mbanga tena
 
Jamani Elimu kdg tusaidiane
Hivi refa anapoenda kuangalia VAR screen
Anakuta jibu tayari lilishawekwa automatically na VAR? Au anarudia Kuangalia Video ya tukio lenye utata

Kwnn majibu yanayofuatwa VAR room yasiwe automatic....yaani refa ayakute Yapo tayari na sio kutegemea utashi au tafsiri binafsi ya refa.

Na nn kinashindikana ikawepo copy-screen ya VAR iwekwe hadharani mule uwanjani ili kile ambacho refa anaenda kukiona kionwe pia na halaiki.
 
Tukumbuke maamzi ya mwisho bado yatatolewa na refs..VAR haimui
 
Jamani Elimu kdg tusaidiane
Hivi refa anapoenda kuangalia VAR screen
Anakuta jibu tayari lilishawekwa automatically na VAR? Au anarudia Kuangalia Video ya tukio lenye utata

Kwnn majibu yanayofuatwa VAR room yasiwe automatic....yaani refa ayakute Yapo tayari na sio kutegemea utashi au tafsiri binafsi ya refa.

Na nn kinashindikana ikawepo copy-screen ya VAR iwekwe hadharani mule uwanjani ili kile ambacho refa anaenda kukiona kionwe pia na halaiki.
Refa ndo anatoa maamuzi yote so lazima akaangalie tena tukio ili ajiridhishe..
Kumbuka wewe unaangalia tukio mara kibao ili kuthibitisha so na yeye lazima aangalie
 
Back
Top Bottom