pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
TFF wapo sahihi kuzibeba yanga na simba tena hazitakiwi kupoteza wala kutoa droo maana hakuna team yoyote Tanzania inayoweza kufanya vizuri Caf champions league zaidi ya hizo AZAM kaaachiwa nafasi lakini kila mwaka anasuasua hakuna team iliyofanya vizuri kuliko hzo kumbuka TFF kuna mgao kutoka Caf wanapata kwa team kufanya vizuri Caf champions league.