Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nani aliona Penalty? LolUkiangalia hii penalty unataman kutukana tusi kubwa mbele za watoto.
Refa Mwanzo alionekana kama anaona Kona daah[emoji23][emoji23]
Mtatema sana mate mwaka huu kwa kupata mimba msizotarajia.Ukiangalia hii penalty unataman kutukana tusi kubwa mbele za watoto.
Refa Mwanzo alionekana kama anaona Kona daah😂😂
Mkuu ukiona mtu ameleta mada ya kukemea jambo fulani ambalo kimsingi ni baya na linakwamisha juhudi za kusogeza soka letu mbele inatakiwa sote tuwe na sauti moja.Mtatema sana mate mwaka huu kwa kupata mimba msizotarajia.
Bahati mbaya ma refa wa aina hii unakuta keshokutwa anapewa mechi nyine ya Ligi kuu.Mkuu ukiona mtu ameleta mada ya kukemea jambo fulani ambalo kimsingi ni baya na linakwamisha juhudi za kusogeza soka letu mbele inatakiwa sote tuwe na sauti moja.
Ushabiki wa aina hii sio mzuri.
Jambo gani baya sasa.? Wewe uone baya basi unataka kila mtu aseme baya?Mkuu ukiona mtu ameleta mada ya kukemea jambo fulani ambalo kimsingi ni baya na linakwamisha juhudi za kusogeza soka letu mbele inatakiwa sote tuwe na sauti moja.
Ushabiki wa aina hii sio mzuri.
Usiwe na haraka kila mtu atafungwa na Simba🦁,zamu yako itafika tu.Ukiangalia hii penalty unataman kutukana tusi kubwa mbele za watoto.
Refa Mwanzo alionekana kama anaona Kona daah😂😂
Refa ndo anatoa maamuzi yote so lazima akaangalie tena tukio ili ajiridhishe..Jamani Elimu kdg tusaidiane
Hivi refa anapoenda kuangalia VAR screen
Anakuta jibu tayari lilishawekwa automatically na VAR? Au anarudia Kuangalia Video ya tukio lenye utata
Kwnn majibu yanayofuatwa VAR room yasiwe automatic....yaani refa ayakute Yapo tayari na sio kutegemea utashi au tafsiri binafsi ya refa.
Na nn kinashindikana ikawepo copy-screen ya VAR iwekwe hadharani mule uwanjani ili kile ambacho refa anaenda kukiona kionwe pia na halaiki.
VAR ziko ngapiWaamuzi wana makosa mengi sana
Kuna muda unaweza hisi kuna maelekezo kutoka sehemu
Ligi yetu imekua ,makosa ya kibinadamu yamekuwa mengi sana , VAR ni muhimu