VAR ya JF

VAR ya JF

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Wanajamvi nahisi tumemisi kitu katika jukwaa hili na ningependekeza ule uzi wa VAR ya JF wa mkuu mfilisti nadhani utakuja na mambo matamu baada ya kukaa kimya

Nawasilisha na karibuni.
 
Toka Nov,25 hakuna hata comment moja kwenye Uzi wako, duuuh
 
Wanajamvi nahisi tumemisi kitu katika jukwaa hili na ningependekeza ule uzi wa VAR ya JF wa mkuu mfilisti nadhani utakuja na mambo matamu baada ya kukaa kimya

Nawasilisha na karibuni.
sijakuelewa Mkuu, jaribu kuelezea vizuri
 
Back
Top Bottom