Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaizer sio timu ya kuichukulia poa inacheza kwa determination kulingana na mech husika haichez chez TU
N mpumbavu tu anayewaza kuwa kaizer chief wanangekewa
Hali ya hewa ya jiji la dsm ni changamoto kubwa kwa timu nyingi.....Kaizer kwa simba mbona walikuwa mlenda sana.. ama sababu ni jua la dar? Ama sababu walipuliziwa dawa chumbani?
Kaizer kwa simba mbona walikuwa mlenda sana.. ama sababu ni jua la dar? Ama sababu walipuliziwa dawa chumbani?
Wanautopolo ni hivi Namungo mechi zake zote za group stage(home) kachezea Dar (Mkapa stadium) na zote kafungwa .Simba akishinda hapo kwa Mkapa mnasema ni joto au dawa.Kweli luc akukosea nyinyi ni zaidi ya utopolo.Hali ya hewa ya jiji la dsm ni changamoto kubwa kwa timu nyingi.....
Hivi kwanini kila timu za nchi nyingine inapokuja Dar es salaam kucheza na Simba zinashindwa hata kutuliza mipira, wanakuwa wazito uwanjani kama vile wamebebeshwa mawe miguuni?Kaizer kwa simba mbona walikuwa mlenda sana.. ama sababu ni jua la dar? Ama sababu walipuliziwa dawa chumbani?
Kuna vitu vingi sana vya kujiuliza.Wanautopolo ni hivi Namungo mechi zake zote za group stage(home) kachezea Dar (Mkapa stadium) na zote kafungwa .Simba akishinda hapo kwa Mkapa mnasema ni joto au dawa.Kweli luc akukosea nyinyi ni zaidi ya utopolo.
Labda wanapatwa na kiwewe baada ya kusikia zile press za Manara, wakisikia do or die , war in dar wanachanganyikiwa kabisa🤣🙉Hivi kwanini kila timu za nchi nyingine inapokuja Dar es salaam kucheza na Simba zinashindwa hata kutuliza mipira, wanakuwa wazito uwanjani kama vile wamebebeshwa mawe miguuni?
Tumeona jinsi Al Ahly walivyofanyiwa mpaka tukahisi hiii Simba itaenda kumtandika msudan goli saba huko Sudan ila wakarudi kwenye usimba wao huko Sudan. Kaizer chief wamewawahi kwa mpiira mikakati kama wafanyavyo Simba
Kidimbwi fc kwa majungu tu hamjambo aisee.Kaizer kwa simba mbona walikuwa mlenda sana.. ama sababu ni jua la dar? Ama sababu walipuliziwa dawa chumbani?
Simba hawanalolote zaidi ya mapaka, Nazi , na kuchimba chimba uwanja kufukia Makafara. Kwa Mambo Kama Ayo mpira wa Simba utaendelea kuwa Kama futuhi. Mpira ni Sayansi na si ulozi.
Maswali yako anajiuliza shabiki wa rede. Kwa mashabiki wa soka inajulikana kabisa kuwa timu ikiwa nyumbani inakuwa na morali ya juu na ndio maana kuna sheria ya faida ya away goal(mechi za mtoano). Kwa hiyo timu ikiwa nyumbani halafu ikiwa na ubora wa timu unaoshabihiana au kuwazidi timu pinzani basi ni rahisi kupata matokeo.Kuna vitu vingi sana vya kujiuliza.
1nini kinachobust performance ya Simba uwanja wa Mkapa je ni uwepo wa mashabik? Game plan? Au ni nini hasa?
Utopolo kuna kitu mnavuta halafu mkitoka hapo mnaenda kushindilia mihogo.Simba hawanalolote zaidi ya mapaka, Nazi , na kuchimba chimba uwanja kufukia Makafara. Kwa Mambo Kama Ayo mpira wa Simba utaendelea kuwa Kama futuhi. Mpira ni Sayansi na si ulozi.
Hahahaha!! Wanakataa ubora wa simba.Wanautopolo ni hivi Namungo mechi zake zote za group stage(home) kachezea Dar (Mkapa stadium) na zote kafungwa .Simba akishinda hapo kwa Mkapa mnasema ni joto au dawa.Kweli luc akukosea nyinyi ni zaidi ya utopolo.
Sayansi ya VidoleSimba hawanalolote zaidi ya mapaka, Nazi , na kuchimba chimba uwanja kufukia Makafara. Kwa Mambo Kama Ayo mpira wa Simba utaendelea kuwa Kama futuhi. Mpira ni Sayansi na si ulozi.
Hiyo Hali ya hewa ya Dar imebadilika miaka ya karibuni!! Na inabadilika kipindi Simba inacheza tu.Hivi kwanini kila timu za nchi nyingine inapokuja Dar es salaam kucheza na Simba zinashindwa hata kutuliza mipira, wanakuwa wazito uwanjani kama vile wamebebeshwa mawe miguuni?
Tumeona jinsi Al Ahly walivyofanyiwa mpaka tukahisi hiii Simba itaenda kumtandika msudan goli saba huko Sudan ila wakarudi kwenye usimba wao huko Sudan. Kaizer chief wamewawahi kwa mpiira mikakati kama wafanyavyo Simba
Muhuni kaizer chiefs.
Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe
Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
Kwan kaizer chief alitolewa kwenye kwenye mashindano?Kaizer kwa simba mbona walikuwa mlenda sana.. ama sababu ni jua la dar? Ama sababu walipuliziwa dawa chumbani?