Kumbe hujui hata VAR inavyofanya kazi. VAR inaendeshwa na watu na kazi yao ni kurudia kuyaona matukio kwa msaada wa video ambayo refa wa kati ameyafanyia maamuzi au hajayafanyia. Kwa hiyo refa wa kati akipeta pia VAR wanaweza kupeta sababu kurudia kuliona tukio mpaka waamue wasipo amua hakuna anaewalazimisha. Kwa hiyo hata VAR ikiwepo magumashi inawezekana tu.Var ni refa wa technology.. hakuna ujanja wa kudanganya