Hivi kwanini kila timu za nchi nyingine inapokuja Dar es salaam kucheza na Simba zinashindwa hata kutuliza mipira, wanakuwa wazito uwanjani kama vile wamebebeshwa mawe miguuni?
Tumeona jinsi Al Ahly walivyofanyiwa mpaka tukahisi hiii Simba itaenda kumtandika msudan goli saba huko Sudan ila wakarudi kwenye usimba wao huko Sudan. Kaizer chief wamewawahi kwa mpiira mikakati kama wafanyavyo Simba