Hii ilitokea Jumamosi Maisha Club baada ya shabiki kumtupia chupa Harmorapa akiwa stejini , Jamaa huyo alishushiwa kipigo na walinzi wa hapo na kumuhisi kuwa alikuwa ametumwa ila yeye alikataa katu kuwa hakutumwa alikuwa kalewa.
Meneja wake Irene Sabuka alilaani vikali tukio na kusema kuna watu wasanii wakubwa wapo nyuma ya tukio hilo na wamemtuma huyo kijana kuja kuharibu.
kuwaomba radhi mashabiki kwa tukio hilo kisha Harmorapa na meneja wake wakaenda kituo cha polisi Mbatini kutoa taarifa.
Angalia Video hiyo kuona tukio lilivyokuwa

Mkuu inaonesha unamkubali sana jamaahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo ana nyota ya chips yai!! Ndo anatusua hivyo!!! Pamoja na sura yake mbaya!!!! Si bure Atakuwa mjukuu wa dr remy ongala , Mzee inawezekana aliacha mbegu huko kusini!![emoji23][emoji23][emoji23]
sana wee acha tuuMkuu inaonesha unamkubali sana jamaa
Judge not mkuuDogo ana nyota ya chips yai!! Ndo anatusua hivyo!!! Pamoja na sura yake mbaya!!!! Si bure Atakuwa mjukuu wa dr remy ongala , Mzee inawezekana aliacha mbegu huko kusini!![emoji23][emoji23][emoji23]
Atahit kwa nyimbo ipi?Ni kukosa confidence, hawajiamini na wivu nyuma yake. Wanaona atahit, atapaa na kuwa super! Wanahofu mademu zao, wanahofu kufunikwa, wanahofu kukubalika kwake na kuvuta mashabiki wake. Wana hofu maendeleo yake na wanahofu ujana wake. Ni roho ya kutu.