Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Hakuwezi kuwa na mtu nyuma ya hiyo chupa zaidi ya mrushaji mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tabia za kutaka Kiki za hivi karibuni za Harmorapa nashawishika kuwa inawezekana hata hili nalo likawa ni sinema ya kutafuta Kiki.
Punguza Hasira Mrembo.Uyo meneja wa harmokiki naye ni mwehu. Yan wasanii wakubwa wamuhofie huyo jamaa mpaka watume mtu kurusha chupa. Mxiuuuu kwa lipi hasa. Huyo harmokiki yeye ndo wa kwanza kutupiwa chupa hapa Tanzania??