Varangati lazuka Club Maisha baada ya Harmorappa kurushiwa chupa wakati aki perform

Varangati lazuka Club Maisha baada ya Harmorappa kurushiwa chupa wakati aki perform

Hakuwezi kuwa na mtu nyuma ya hiyo chupa zaidi ya mrushaji mwenyewe.
 
Mm hata nikisia harmo rapa kafariki sitaamini nitahisi ni kiki tu
 
Sio uungwana kabisa.wale wahuni wa wcb wameusika hapo bila shaka.
Harmonize kaona anafunikwa anaanza kuleta umakonde.shubamiti......!
 
Uyo meneja wa harmokiki naye ni mwehu. Yan wasanii wakubwa wamuhofie huyo jamaa mpaka watume mtu kurusha chupa. Mxiuuuu kwa lipi hasa. Huyo harmokiki yeye ndo wa kwanza kutupiwa chupa hapa Tanzania??
Punguza Hasira Mrembo.
 
Back
Top Bottom