Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Underline.Kwa tabia za kutaka Kiki za hivi karibuni za Harmorapa nashawishika kuwa inawezekana hata hili nalo likawa ni sinema ya kutafuta Kiki.
Planned,executed and Results are MarvelousHii ilitokea Jumamosi Maisha Club baada ya shabiki kumtupia chupa Harmorapa akiwa stejini , Jamaa huyo alishushiwa kipigo na walinzi wa hapo na kumuhisi kuwa alikuwa ametumwa ila yeye alikataa katu kuwa hakutumwa alikuwa kalewa.
Meneja wake Irene Sabuka alilaani vikali tukio na kusema kuna watu wasanii wakubwa wapo nyuma ya tukio hilo na wamemtuma huyo kijana kuja kuharibu.
kuwaomba radhi mashabiki kwa tukio hilo kisha Harmorapa na meneja wake wakaenda kituo cha polisi Mbatini kutoa taarifa.
Angalia Video hiyo kuona tukio lilivyokuwa
Kwaiyo watakuwa wameenda kumtoa wenyewe mabatini? Kama kik basi ya funga mwakadogo katafuta mtu amrushie chupa maana ni muendelezo wakutafuta kiki kwa nguvu.
Kurushiwa chupa, ipo sana hasa unapotumia mziku stejini wa aina ya Hamorapa ya kukashifu watu mara sijui anti sijui nn....ndio maana waimbaji makini wanatumia lugha kuficha ukali. Mashabiki wakishalewa wanaweza kufanya chochote awe makini, nadhani ni ..warning hiyo... Abadili gia angani hamna namna..Bora hata mashabiki wa kiba wanarushaga chupa za maji kwa mondi sio kurusha chupa za beer ase..sio sawa