Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayoNo wonder this comes form a failed state....
Nchi ambayo haiwezi kulisha watu wake, inategemea majirani wailishe unategemea wakawa na vipaumbele vya maana??
Hawa jamaa sijui walirogwa na nani??
Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayo
lakini Ku_export wachawi mnajuaSi mliwaruhusu waingie kwenu nyinyi wenyewe,kilio vipi???
Sisi hatupokei mchawi wa kikenya wala wa kinigeria.