wala sio noma,inategemea tu na umri na idadi ya watoto.Actually katika ndoa kama mnaridhia ni bora mwanaume afanye vasectomy kuliko mama kutumia njia nyingine kama kufunga tube ambazo wengine huwa wana react,vasectomy ni very safe.Mhhh hiyo ngumu kabisa
Aongee na mkewe amwambie ukweli kuwa alishafanyiwa hiyo kitu na waangalie namna ya kupandikiza mbegu
Ili hata kama mke akipata mimba asije akatolewa mbio
Ila kufanya hiyo kitu aise ni noma
Bebii werayu?
rocky jamani dah ngoja nijitoe jf mwaka ndo nitakuwa na jibu lako byeauogope wapi muhogo huyo wakati kashaizoea ndo maana hataki wa kupimiwa na ule ule kila siku
wala sio noma,inategemea tu na umri na idadi ya watoto.Actually katika ndoa kama mnaridhia ni bora mwanaume afanye vasectomy kuliko mama kutumia njia nyingine kama kufunga tube ambazo wengine huwa wana react,vasectomy ni very safe.
kwa hali hii kwaherini bwanabebii werayu?
rocky jamani dah ngoja nijitoe jf mwaka ndo nitakuwa na jibu lako bye
<br />Tena mangumi ya uso reception yote is laitioff kabisa shenzi sana hili jamaa pambaf zake
kwa hali hii kwaherini bwana
Mkuu halafu ulee mjukuu? lol!
usiondoke sweetie,ukifanya hivo kuna mtu atakula sumu kwa ajili yako,chondechonde!
nimewasamehe lakini .....si wewe hapo umemtibua mpaka ana taka kuondoka bana
bebii usiondoke puliz puliz
nimewasamehe lakini .....
Ndugu yangu na gharama hizi za maisha kindergarten dola mia tano kwa term,bado nguo,chakula,hospitalikubembea funcity,si kapensheni kataishia hapo?