Vasectomy inataka kuleta balaa!

Vasectomy inataka kuleta balaa!

Mhhh hiyo ngumu kabisa
Aongee na mkewe amwambie ukweli kuwa alishafanyiwa hiyo kitu na waangalie namna ya kupandikiza mbegu
Ili hata kama mke akipata mimba asije akatolewa mbio
Ila kufanya hiyo kitu aise ni noma
wala sio noma,inategemea tu na umri na idadi ya watoto.Actually katika ndoa kama mnaridhia ni bora mwanaume afanye vasectomy kuliko mama kutumia njia nyingine kama kufunga tube ambazo wengine huwa wana react,vasectomy ni very safe.
 
auogope wapi muhogo huyo wakati kashaizoea ndo maana hataki wa kupimiwa na ule ule kila siku
rocky jamani dah ngoja nijitoe jf mwaka ndo nitakuwa na jibu lako bye
 
wala sio noma,inategemea tu na umri na idadi ya watoto.Actually katika ndoa kama mnaridhia ni bora mwanaume afanye vasectomy kuliko mama kutumia njia nyingine kama kufunga tube ambazo wengine huwa wana react,vasectomy ni very safe.

Wewe wasema ila kwangu no
Sifanyi hiyo kitu bora mama atumie njia salama zaidi kuliko kwenye kukata ile kitu aise
One day naweza tamani mtoto wa uzeeni halafu simpati
 
macompex issue yote ni ya ndoa heri sisi huku nje kila kitu simple
bebii relationships zote ni complex tu ziwe za ndoa ,uhawara,ubf/gf doesn't matter.
 
rocky jamani dah ngoja nijitoe jf mwaka ndo nitakuwa na jibu lako bye

Uwwwwiiiii nimeharibu sori mamy so sori sana sana
i have terezaling ulimi and i found myself tokaring issue mbofu mbofu
sori bebiii
 
Wewe wasema ila kwangu no
Sifanyi hiyo kitu bora mama atumie njia salama zaidi kuliko kwenye kukata ile kitu aise
One day naweza tamani mtoto wa uzeeni halafu simpati
Mkuu halafu ulee mjukuu? lol!
 
Nafikiri Bishanga jamaa yako alifanya makosa sana kufanya vasectomy hata kama alikuwa anasema hataki kuzaa tena sababu siku zote unayowaza leo siyo utakayotenda kesho mambo yanabadilika halafu jamaa yako ameuchuna huyo jamaa yako namuona kama vile muuaji, halafu uko India mbona mbali sana wakati hata hapo South Africa wanafanya kuna rafiki yangu alifanya kule South Africa leo hii mtoto anauliza baba yake yuko wapi anashindwa amwambie nini
 
Ndugu yangu na gharama hizi za maisha kindergarten dola mia tano kwa term,bado nguo,chakula,hospitalikubembea funcity,si kapensheni kataishia hapo?

Sasa biashara ya watoto wote wameoa na kuolewa na then nabaki na mama nyumbani si bora nitafute wa uzeeni kaka zake na dada zake watamsomesha
 
Back
Top Bottom