mh! nilitazamia kitu kama hicho lakini duh, nimekoma. ngoja kwanza kama vasectomy tunasema mbaya mbona tunawashauri wake zetu kufanya tuba-ligation?you can ila chances ni 50/50 na ni very expensive (inaweza kufikia hata USD 50,000.- kutegemea na class ya hospital)
hiyo ndo hali halisi mazeee,ukiingia kwenye ndoa keep your eyes open,hususani hizi ndoa za dot.com,mnakutana runway,kitchen party kempinski,mkesha kunduchi beach,reception moven pick,fungate dubai,baada ya harusi mama anasema mimba isubiri kwanza anataka ku keep figure,ukienda jackies yeye unamsikia yuko nyumbani lounge,ukirudi nyumbani unamkuta kwenye laptop ukimuuliza msosi(kwanza hajui kupika kalelewa na ma housegirl all her life) anakwambia kwani hujala huko? hallo hallo.....
mama she is just assuming kwamba mmewe yuko ok kwa sababu tayari ana watoto-2 kidsjamaa anao watoto wa ngapi? Amwambie ukweli dada wa watu azae bwana? Kwani hawajawai kwenda wotekupima hosptal? Maana majibu yatasaidia kuweka ukweli hadharani
Mkuu huyu jamaa yake Bishanga kaniacha hoi aisee dah issue zingine ngumu aisee
it doesnot work that way,ukishafanya vasectomy kuzaa tena shurti kwa microsurgery.Mhhhh!!! kweli huyo mwanaume ana roho mbaya haswaa!!! Kwanini usimwambie rafiki yako anavyofanya sio vyema, amweleze mke wake mwenyewe.
Huyo mdada, kama wengine walivyosema, nafikiri ni vizuri aongee na huyo mume wake............hivi kwani hawawezi kuchukua za mumewe wakampandikiza????!!!
ndo hapo sasa kajukuu kakisomea shule za kanumba.
TF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.Bishanga kitu ambacho kinanishangaza kwa huyu jamaa achilia mbali hiyo ya kutosema, yaani alishikwa hasira kiasi kwamba hadi aliamua kufanya Vasectomy ili asizae?? Such things iko siku vinagundulika bila hata yeye mwenye kujua na hapo ndipo itakapokuwa timbwili aisee siwezi kufikia hatua hiyo ya kwenda kufanya such a thing
TF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.
Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at allIssue ngumu sana TF ndo maana nasema aise mimi siwezi fanya ile kitu kabisa
Bora nimshauri mama tuu tutumie simple na clear method of birth control hakuna hata kukata sijui mirija ya wife wala nini
Maana one day utajikuta una matatikzo ambayo huwezi jua utaanzia wapi
Bishanga anyways hayo yote tumuachie Mungu tu ila naamini kuna mambo ambayo yako within our capacity unaweza kufikiria kwanza kabla ya kuamua kufanya decision fulani kwasababu binadamu tunatofautiana na kila mtu ana mawazo na maamuzi yakeTF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.
kwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
Mimi nitaendelea kusema tu hata watu wakinielewa vibaya ila huyu jamaa yake Bishanga ana roho kwa kweli ambayo sio nzuri kwa kitendo hicho
kwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?
nimshauri nini Bi Asha?
Hahahaha!!!!! Bishangakwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?
umeona sis eeh ndoa ngumuuuuu........naona tuone kwanza muelekeo wa huu mjadala, ndio utatupa picha....