Vasectomy inataka kuleta balaa!

Vasectomy inataka kuleta balaa!

Hivi ukifanyiwa hii mbegu hazitoki ukimaliza pale au? unatoka upepo au? maana mambo mengine haya mwanaum kabisa wa kiafrika unaenda kufunga uzazi wakati unajua kabisa umeachana na mwenzako, kwa nini asingeoa mjane mwenye watoto au aliyeachka mwenye watoto?
 
BlackBerry ndio maana tunasema hii maada ya leo ni pasu kichwa
 
Mkuu siku zote unapofanya maombi usijiombee wewe mwenyewe usiwe mbinafsi kwenye maombi muombee na mwenzako hata kama ilikuwa aingie kwenye majaribu kutokana na maombi yako Mungu anaweza kumuepusha, ni kweli wengi wetu tunakutana ukubwani lakini bado tuna nafasi ya kuweza kurekebisha mienendo yetu inawezekana kama ukiamua na inaweza isiwezekane usipoamua vile vile

Mimi nabaki kusoma mapoint yako tu maana naona nikichangia nitaharibu sasa
 
Hivi ukifanyiwa hii mbegu hazitoki ukimaliza pale au? unatoka upepo au? maana mambo mengine haya mwanaum kabisa wa kiafrika unaenda kufunga uzazi wakati unajua kabisa umeachana na mwenzako, kwa nini asingeoa mjane mwenye watoto au aliyeachka mwenye watoto?
Katika viungo vya uzazi vya mwanaume mbegu huwa zimetenganishwa na shaha..,wakati wa kufika kileleni mbegu hutoka kwenye kifuko chake zikachanganyikana na shaha.. na kisha kutoka nje.Shaha.. inazipa mbegu vehicle ya kuogelea. Kwenye vasectomy wanakata mirija inayoleta mbegu kutoka kwenye kifuko chake na ndo maana aliyefanyiwa vasectomy anaendelea kufika kileleni kama kawaida lakini ndo hivo bunduki yake inakuwa ni mlio tu haina risasi.
 
Huyo jamaa ndo maana aliachana na mkewe kazidi roho mbaya na ni muuwaji anajua kuwa hawezi
kuzaa na hamwambii mkewe wa sasa hiyo ni tabia mbovu sana. (Kama unaweza cheat naye azae) ila usimwambie chochote kuwa
muweze hawezi kuzaa tena.
Hapo tu ndipo huwa napandwa hasira na wanaume sijui mkoje roho mbaya tuuu
Punguza hasira mrembo
 
Back
Top Bottom