Vasectomy inataka kuleta balaa!

Vasectomy inataka kuleta balaa!

nasikia ulikuwa unajipima skin jeans za kike

Katuwekea masharobaro wa kiume wale maana wale sio wanaume ila watoto wa kiume wamevaa skin jeans na wamesimama kiajabu kama wako show room
 
Katuwekea masharobaro wa kiume wale maana wale sio wanaume ila watoto wa kiume wamevaa skin jeans na wamesimama kiajabu kama wako show room
Dah!!! Ngoja nikija huko nakuleta moja rangi nyekundu
 
Hapo juu sitawajibu mpaka Wifi yangu Dena aniruhusu.. who are you to make me defy
my wifi?? (@Bebii - Kumbe!! @Rocky - Najipanga @PA Link basi)

Mwambie Bebii aje bana naona ananirusha roho tuu hapa
 
Back
Top Bottom