The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hahahaha!!! LolNimekusamehe wifi yangu kaka asije kosa maji ya kuoga bureee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha!!! LolNimekusamehe wifi yangu kaka asije kosa maji ya kuoga bureee
atupate wangapi tena aaa?Karibu anaoa... kila siku seminar siku hizi (au ndo wewe kakupata?? )
Hivi Bishanga TF, DA na Rocky wamemaliza mjadala... naruhusiwa kutoa ushauri saizi??
kumbe ulikuwa unanidanganya eeeh? kumbe yupo loh?
Nimekusamehe wifi yangu kaka asije kosa maji ya kuoga bureee
leo nimejua ukweli bwanaSi wewe hapo au kuna mwingine tena
Lol wacha kunirusha roho bana
Sijaona lol!! Leo bana Dena na Mr. Rocky wamenitoa nduki Jamii PhotosAsante - na ujue nimepiga magoti wifi... (alafu ninavimpenda kakako... hata uniboe vipi siwezi mfanyia vituko... SIWEZI...lol)
Sijaona lol!! Leo bana Dena na Mr. Rocky wamenitoa nduki Jamii Photos
nasikia ulikuwa unajipima skin jeans za kikeSijaona lol!! Leo bana Dena na Mr. Rocky wamenitoa nduki Jamii Photos
nasikia ulikuwa unajipima skin jeans za kike
Lol!!! Bebii zicheki fresh tena za kiume zile za ukweli hasanasikia ulikuwa unajipima skin jeans za kike
Lol!!! Bebii zicheki fresh tena za kiume zile za ukweli hasa
Dah!!! Ngoja nikija huko nakuleta moja rangi nyekunduKatuwekea masharobaro wa kiume wale maana wale sio wanaume ila watoto wa kiume wamevaa skin jeans na wamesimama kiajabu kama wako show room
Zina sehemu zake zile iko siku utaniotea nimepiga mojaWe mbona sikuoni umevaa kama zile
atupate wangapi tena aaa?
Mhh nasubiria wako bana maana wengine wote washaanza mambo yao na Bebii naona anataka aniletee visa vyake hapa
Sijaona lol!! Leo bana Dena na Mr. Rocky wamenitoa nduki Jamii Photos
Dah!!! Ngoja nikija huko nakuleta moja rangi nyekundu
Zina sehemu zake zile iko siku utaniotea nimepiga moja
Hapo juu sitawajibu mpaka Wifi yangu Dena aniruhusu.. who are you to make me defy
my wifi?? (@Bebii - Kumbe!! @Rocky - Najipanga @PA Link basi)
tf zile jeans anauza sh ngapi nikununulie?Mwambie Bebii aje bana naona ananirusha roho tuu hapa
jibu bwana?Hapo juu sitawajibu mpaka Wifi yangu Dena aniruhusu.. who are you to make me defy
my wifi?? (@Bebii - Kumbe!! @Rocky - Najipanga @PA Link basi)