Vasectomy inataka kuleta balaa!

Vasectomy inataka kuleta balaa!

haaaa sis TF ANATISHA HATA WEWE? KUNA MTU ALISHAMZUKIA LIVE HUMU SEMA TF AKAMTOSA JAMANI KIJANA HUYU,,, ATAUWA WATU HUMU NDANI...
kwi kwi kwi.....jamani aspirin yuko wapi?
 
Tatizo vijana wa siku hizi mmeharibu kabisa maana ya lugha halisi....lol... wewe si umesema wetu hap jf?? Imekuaje?? Sasa nakutambulisha rasmi umesikia??? Yule shemeji yako (kwangu) huyu TF ni mdogo wake... tatizo huji nyumbani kunitembelea....lol
 
mi sijui bwana ndo maana siku hz anamwaga busara sana TF nilijua tu sio bure
 
Mkuu siku zote unapofanya maombi usijiombee wewe mwenyewe usiwe mbinafsi kwenye maombi muombee na mwenzako hata kama ilikuwa aingie kwenye majaribu kutokana na maombi yako Mungu anaweza kumuepusha, ni kweli wengi wetu tunakutana ukubwani lakini bado tuna nafasi ya kuweza kurekebisha mienendo yetu inawezekana kama ukiamua na inaweza isiwezekane usipoamua vile vile
Hapo umenifurahisha sana mdogo wangu....Na Mungu akusaidie akakupe mke mwema kutoka kwake.....! Stay blessed.
 
haaaa sis TF ANATISHA HATA WEWE? KUNA MTU ALISHAMZUKIA LIVE HUMU SEMA TF AKAMTOSA JAMANI KIJANA HUYU,,, ATAUWA WATU HUMU NDANI...

Mshua anaingia hapa JF... haina shida maana yeye ndo alinitambulisha na TF a.k.a PA ni mdogo wake.... Hivo kakangu pia...

kwi kwi kwi.....jamani aspirin yuko wapi?

Tatizo vijana wa siku hizi mmeharibu kabisa maana ya lugha halisi....lol... wewe si umesema wetu hap jf?? Imekuaje?? Sasa nakutambulisha rasmi umesikia??? Yule shemeji yako (kwangu) huyu TF ni mdogo wake... tatizo huji nyumbani kunitembelea....lol

mi sijui bwana ndo maana siku hz anamwaga busara sana TF nilijua tu sio bure
Dah!!! Nimecheka lol!!
 
Back
Top Bottom