Vaseline lotion

Vaseline lotion

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar wanajf eti kuna ukweli wowote kuhusu loshen ya vaseline kua inafaa zaidi kutumia sehem zenye joto kama dsm,, na kama hapana naomba mwenye kujua loshen nzur ambayo itanifaa sehem zenye joto

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio yenyewe mkuu wee ukifika kwenye duka la vipodozi ulizia, hauta sweat nyakati za joto
1548348580552~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom