omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf eti kuna ukweli wowote kuhusu loshen ya vaseline kua inafaa zaidi kutumia sehem zenye joto kama dsm,, na kama hapana naomba mwenye kujua loshen nzur ambayo itanifaa sehem zenye joto
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app