Vasyl Lomachenko vs Teofimo Lopez

Vasyl Lomachenko vs Teofimo Lopez

MR BINGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
1,164
Reaction score
2,500
Usiku wa tarehe 17 october 2020 kinanuka pale MGM grand las vegas kati ya wababe wawili mmoja kutokea Ukraine wanamwita VASYL lomachenko na dogo fulani hivi wa makamo aliyekulia marekani mwenye asili ya honduras wanamwita TEOFIMO LOPEZ

VASYL LOMACHENKO
huyu mhuni kutokea ukraine anaefundishwa na baba yake mzazi mzee Anatoly Lomachenko anashikilia record ya kushinda mapambano 14 kati ya 15 aliyopigana na kushindwa pambano 1. Katika mapambano 14 aliyoshinda 10 ni K.O huku akiwasababisha mabingwa zaidi ya wanne kuquit match kitendo ambacho siyo cha kawaida , Lomachenko anashikilia rekodi kubwa pia katika ngui za ridhaa akiwa ameshinda mapambano 396 na kushinda pambano 1, Loma pia ndiye anayetajwa kuwa bondia anayetambulika kama namvba moja kwa "pound for pound'...hii ni kutokana na uwezo wake wa kuweza kushinda mataji katika uzito wa featherweight , super featherweight na lightweight huku akiashikilia mataji ya unified WBA (Super), WBO and Ring magazine lightweight .
1602883966115.png

TEOFIMO LOPEZ
HUyu dogo ni mmarekani aliyezaliwa kitongoji cha wahuni pale Brooklyn New York baba yake mwenye asili ya honduras Teofimo lopez Sr ambaye alikuwa anajishughuslisha na boxing tangu mwanzoni na pia ndiye kocha wa mwanaye kama ilivyo kwa Loma.Dogo huyu wa miaka 23 anashikilia rekodi ya kushinda mapambano 15 kati ya 15 aliyocheza katika ngumi za kulipwa huku 12 kati ya hayo ikiwa ni ushindi wa K.O na akiwa na mkanda wa IBF lightweight. Teofimo Lopez anasifika kwa mbwembwe zake za ulingoni ambazo zitakukumbusha bondia naseem ahmed wa miaka ya 90 kawa mikogo yake
1602884912065.png

mpambano utakuwa mkali kwa sababu mabondia wote wana uwezo wa kipekee tukianza na dogo Teofimo ambaye ana power punches ambazo zinaweza kumsumbua mpinzani wake na zimekuwa zikimpa ushindi wa bwerere kupitia K.O. Tukija kwa Lomachenko anasifika kwa speed na uwezo wake mkubwa wa miguu "foot movement" pia ngumi zake zenye malengo ambazo zimewafanya wapinzani wake wanne kuquit pambano huku akitamba kwamba atafanya kitu hicho hicho kwa dogo Teofimo

utabiri wangu
nampa ushindi lomachenko kwani kwa upande wangu naona jama yuko level nyingine kwenye boxing na ana speed ya ajabu na mazoez ambayo yanamjengea uwezo mkubwa sana

karibuni kwa utabiri wenu kuhusu pambano hili
 
Nilikuwa nataka niweke thread ya hili pambano shukrani kwa kunisaidia na umewaelezea vizuri. Hili ni pambano bora kabisa la boxing tangu Covid-19 ianze kusumbua Dunia na natumai ulingoni watatupa tunachotarajia maana hawa wote ni mafundi.
 
Hawa mafundi wawili nimebahatika kuangalia mapambano yao mengi, kama ilivyo kwa mtazamo wa wengi namimi naunga mkono Lomachenko ana nafasi kubwa zaidi ya kushinda kama ni betting naweka mzigo kwake kwa sababu zifuatavyo;-

1. Wote wana move, ila movement za Loma ni za Sayari nyingine

2. Wote Wana skills ila Skills za Loma ni za Sayari nyingine

3. Boxing IQ, wote wanayo ila Loma ni next level

3. Experience, Loma ana experience kubwa sana huko Amateur, na alipoingia Pro kakutana na wapinzani wagumu kuliko Teo

4. Pumzi, Loma speed anayoanza nayo round ya kwanza ndio anamaliza nayo round ya 12, yaani kwa stamina aliyonayo nahisi anaweza kupigana hata round 20[emoji1]. Teofimo Lopez kazoea kumaliza mapambano yake mapema, sijui kama akienda Round 12 atakuwa na uwezo wa kumuaoutpoint Loma

5. Speed, hapa naona kama wanaendana

NB: Kitu pekee ambacho Teofimo anamzidi Loma ni 'power punch', ana ngumi kali sana kiasi kwamba Loma akipoteza umakini anaweza kudondoshwa wakati wowote, na sitoshangaa sana endapo Loma akipigwa KO ya kustukiza
 
Hawa mafundi wawili nimebahatika kuangalia mapambano yao mengi, kama ilivyo kwa mtazamo wa wengi namimi naunga mkono Lomachenko ana nafasi kubwa zaidi ya kushinda kama ni betting naweka mzigo kwake kwa sababu zifuatavyo;-

1. Wote wana move, ila movement za Loma ni za Sayari nyingine

2. Wote Wana skills ila Skills za Loma ni za Sayari nyingine

3. Boxing IQ, wote wanayo ila Loma ni next level

3. Experience, Loma ana experience kubwa sana huko Ameatur, na alipoingia Pro kakutana na wapinzani wagumu kuliko Teo

4. Pumzi, Loma speed anayoanza nayo round ya kwanza ndio anamaliza nayo round ya 12, yaani kwa stamina aliyonayo nahisi anaweza kupigana hata round 20[emoji1]. Teofimo Lopez kazoea kumaliza mapambano yake mapema, sijui kama akienda Round 12 atakuwa na uwezo wa kumuaoutpoint Loma

5. Speed, hapa naona kama wanaendana

NB: Kitu pekee ambacho Teofimo anamzidi Loma ni 'power punch', ana ngumi kali sana kiasi kwamba Loma akipoteza umakini anaweza kudondoshwa wakati wowote, na sitoshangaa sana endapo Loma akipigwa KO ya kustukiza
Yap!!! Nakubaliana na ww kabisa Loma anaweza kustrugle hapo kwenye powe punch lakin sion akimpa dogo hiyo nafasi..

Yaan kwa ule upiganaji wa lomachenko najiulizaga inawezekanaje mtu Ukakubali kupigana na mtu kama yule kwa sababu jamaa yuko level nyingine kwa kweli yaan ukiangalia yale mazoez yake lazima hofu ikuingie
 
Loma inawezekana kabisa kupigika japo sio rahisi, kwa mtazamo wangu Linares alikuwa anaongoza kwa point kabla hajapigwa KO
 
Awapi mkuu, tokea Covid 19 imeanza hili sio kali, kuna pambano la Goethje VS Ferguson. Lile lilikua matata sana.

Under dog Goethje alimlaza mtu mzima vibaya sana.
Nilikuwa nataka niweke thread ya hili pambano shukrani kwa kunisaidia na umewaelezea vizuri. Hili ni pambano bora kabisa la boxing tangu Covid-19 ianze kusumbua Dunia na natumai ulingoni watatupa tunachotarajia maana hawa wote ni mafundi.
 
Mwanangu loma akila neno kabla ya kumwelekeza mtu kibla
Screenshot_20201018-042605.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20201018-042605.jpg
    Screenshot_20201018-042605.jpg
    30.5 KB · Views: 2
Dogo Lopez kaishangaza Dunia, Respect kwake
Screenshot_20201018-074936.jpg
 
Maybe i did underrate this kid but he is something

The winner by anonymous decision is Teofimo lopez and the new undisputed champion View attachment 1603670
Screenshot_20201018-074804.jpg
 
Sijaamini nilichokiona yaan loma amenyanyasika sana leo

Dogo anastahili pongez
Yes, alikuwa anapiga point kila round, nikaona kabisa leo mjomba kakamatika. Dogo anajua, sikutegemea kama anaweza kumuoutpoint Loma, nilihisi anaweza kushinda kwa KO ya kushtukiza ila sio kwa point
 
Yes, alikuwa anapiga point kila round, nikaona kabisa leo mjomba kakamatika. Dogo anajua, sikutegemea kama anaweza kumuoutpoint Loma, nilihisi anaweza kushinda kwa KO ya kushtukiza ila sio kwa point
Pia loma naye alikosa plan b coz dogo alikuwa haingiliki kirahisi kama alivyodhan pia the kid is so fast yaan ile speed loma anayotumiaga kutesa watu dogo aliweza kuihandle vizuri

It was a great fight kwa kweli
 
Natamani nione rematch hapa, it was a close fight
 
Natamani nione rematch hapa, it was a close fight
Offcourse It was a close fight japo majudge wamemtupa kabisa loma bu the right man won the fight so hilo la point kuwa na gap kubwa halitajadiliwa sana
The body language of loma said it all he will request for the rematch i hope......shida ni kwamba watu tulimpuuza sana huyu dogo kumbe ana kitu cha tofauti hata loma mwenyewe amekuwa surprised nahic
 
daaah...napitwa na vingi aisee..lomachenko kapotezaje kizembe..itabid nimfatilie dogo teofimo kwa makin
 
Offcourse It was a close fight japo majudge wamemtupa kabisa loma bu the right man won the fight so hilo la point kuwa na gap kubwa halitajadiliwa sana
The body language of loma said it all he will request for the rematch i hope......shida ni kwamba watu tulimpuuza sana huyu dogo kumbe ana kitu cha tofauti hata loma mwenyewe amekuwa surprised nahic
Yes, wakati wa kusubiri matoke Loma alionyesha kashakubali matokeo
 
Je huyu dogo ataweza kumpiga Tank?
Yule mayweather mfanyabiashara hawez kumwingiza fighter wake kwenye fight ambayo hawez kushinda

Pia nahic tank anatakiwa acheze game ili aweze kupigana na lopez kwa sasa hv
 
Back
Top Bottom