MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,164
- 2,500
Usiku wa tarehe 17 october 2020 kinanuka pale MGM grand las vegas kati ya wababe wawili mmoja kutokea Ukraine wanamwita VASYL lomachenko na dogo fulani hivi wa makamo aliyekulia marekani mwenye asili ya honduras wanamwita TEOFIMO LOPEZ
VASYL LOMACHENKO
huyu mhuni kutokea ukraine anaefundishwa na baba yake mzazi mzee Anatoly Lomachenko anashikilia record ya kushinda mapambano 14 kati ya 15 aliyopigana na kushindwa pambano 1. Katika mapambano 14 aliyoshinda 10 ni K.O huku akiwasababisha mabingwa zaidi ya wanne kuquit match kitendo ambacho siyo cha kawaida , Lomachenko anashikilia rekodi kubwa pia katika ngui za ridhaa akiwa ameshinda mapambano 396 na kushinda pambano 1, Loma pia ndiye anayetajwa kuwa bondia anayetambulika kama namvba moja kwa "pound for pound'...hii ni kutokana na uwezo wake wa kuweza kushinda mataji katika uzito wa featherweight , super featherweight na lightweight huku akiashikilia mataji ya unified WBA (Super), WBO and Ring magazine lightweight .
TEOFIMO LOPEZ
HUyu dogo ni mmarekani aliyezaliwa kitongoji cha wahuni pale Brooklyn New York baba yake mwenye asili ya honduras Teofimo lopez Sr ambaye alikuwa anajishughuslisha na boxing tangu mwanzoni na pia ndiye kocha wa mwanaye kama ilivyo kwa Loma.Dogo huyu wa miaka 23 anashikilia rekodi ya kushinda mapambano 15 kati ya 15 aliyocheza katika ngumi za kulipwa huku 12 kati ya hayo ikiwa ni ushindi wa K.O na akiwa na mkanda wa IBF lightweight. Teofimo Lopez anasifika kwa mbwembwe zake za ulingoni ambazo zitakukumbusha bondia naseem ahmed wa miaka ya 90 kawa mikogo yake
mpambano utakuwa mkali kwa sababu mabondia wote wana uwezo wa kipekee tukianza na dogo Teofimo ambaye ana power punches ambazo zinaweza kumsumbua mpinzani wake na zimekuwa zikimpa ushindi wa bwerere kupitia K.O. Tukija kwa Lomachenko anasifika kwa speed na uwezo wake mkubwa wa miguu "foot movement" pia ngumi zake zenye malengo ambazo zimewafanya wapinzani wake wanne kuquit pambano huku akitamba kwamba atafanya kitu hicho hicho kwa dogo Teofimo
utabiri wangu
nampa ushindi lomachenko kwani kwa upande wangu naona jama yuko level nyingine kwenye boxing na ana speed ya ajabu na mazoez ambayo yanamjengea uwezo mkubwa sana
karibuni kwa utabiri wenu kuhusu pambano hili