Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 152
- 221
Habari wakuu, samahani naomba kuuliza kwa wenye kuelewa kwenye shughuli za uchenjuaji wa dhahabu.
Naomba kueleweshwa namna unavyoweza kujua ni kiasi gani cha lead nitrate, ammonium nitrate pamoja na hydrogen peroxide unachoweza kuweka kwenye maandalizi ya solution.
Naombeni tafadhali najiandaa na interview ndugu yenu. Naomba kuwasilisha