Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 152
- 221
NImeuliza mtu akaniambia inabidi ujue sulfide content, ujue copper content iliyopo akasema huwa kuna formula wanaitumia kulingana na content ila haijui. Ndo nikaja humu nipate msaadaMkuu kuwa serious kidogo ni kwamba umesahau ama? swali pana hilo kwa mimi nionavyo Kwenye industry, kiwango hakiwekwi kwa kubahatisha lazima ujue
1.aina ya ore,
2.grade ya dhahabu,
3. sulphide content,
4.pH,
5.oxygen level,
6.cyanide consumption,
7. matokeo ya maabara (metallurgical test work).
Naomba nikucheki pm bro nipate maelekezo zaidiMkuu kuwa serious kidogo ni kwamba umesahau ama? swali pana hilo kwa mimi nionavyo Kwenye industry, kiwango hakiwekwi kwa kubahatisha lazima ujue
1.aina ya ore,
2.grade ya dhahabu,
3. sulphide content,
4.pH,
5.oxygen level,
6.cyanide consumption,
7. matokeo ya maabara (metallurgical test work).
Long time kitambo mzee, madude yameshanitoka, ilq hapo kwenye sulfid content, ni kwamba Ore yenye sulphides nyingi inaweza kuhitaji lead nitrate zaidi.NImeuliza mtu akaniambia inabidi ujue sulfide content, ujue copper content iliyopo akasema huwa kuna formula wanaitumia kulingana na content ila haijui. Ndo nikaja humu nipate msaada
Mzee rudia kusoma tu, mie long time kitambo, siko deep sanaNaomba nikucheki pm bro nipate maelekezo zaidi
Sawa bro shukranMzee rudia kusoma tu, mie long time kitambo, siko deep sana
Pamoja sana mzeeSawa bro shukran