Vatican inamiliki dunia

Dunia hii Kuna wahuni wameiweka mifukoni kinyume kabisa na Neno halisi na Matakwa ya Baba wa Mbinguni.

Kibaya zaidi ni kwamba wengi hatuujui ukweli na hatuko tayari kujifunza na kuchukua hatua. Ee Mungu wangu nifunulie niijue kweli yako, unisamehe dhambi zangu na unipe Mwisho mwema hapa duniani.
 
Na ujanja wote mkitaka kuchinja ng'ombe mnatafuta wa kina MID
 
Mungu kasema muitawale
 
Na ujanja wote mkitaka kuchinja ng'ombe mnatafuta wa kina MID
maeneo na maeneo na matukio sawa si sehemu zote inakuwa hivyo mfano nenda kilimanjaro au njombe wanachinja wa kristu kama kawa kwa asilimia kubwa
 
PAPA NA UCHAGUZI PAPA AMEWAMEZA WANASIASA
baada ya kukataa kukuana nao hasa wanchi zilizoko kwenye uchaguzi wanaotaga kupata kura za wakatoliki kiraisi na uungwaji mkono
























HASA WAKWANZA KUKATAA WAZIWAZI KUKUTANANAE NI HUYU

 
“Deep State” kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.

Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa. Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.

Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache. Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.

Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.

By Daudi balali

Ila Mimi nonavyojua
2kati yao


1Ni kiongozi wa kanisa Katoliki awe papa au balozi wake au representative.

2Kiongozi wa ulaya Britain au Brexit awe kifalme(kiongozi wa Anglican pia) au wazuri mkuu au awe representative.
 
Wewe ni muongo sana, Jesuits imeundea na Ignatius luyola miaka ya 1400++ Mud alikuweko miaka ya 600 unapotosha wqtu hivihivi
 
hilo nipe muda
 
Samahan Nje ta mada kidogo..!! Ivi hizi stoei za kauli ya papa kuhusu ndoa za jinsi moja ina ukweli au ni mitandao? Naona inatembea speed kweli aisee
 
Samahan Nje ta mada kidogo..!! Ivi hizi stoei za kauli ya papa kuhusu ndoa za jinsi moja ina ukweli au ni mitandao? Naona inatembea speed kweli aisee
Aliongelea sema language barrier wa ma Media wakafanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…