Vatican inamiliki dunia

Duh
 
Huu ndio ukweli halisi.
Lakini walimwengu na dini zao wamefumbwa wasione, wasisikie, wasielewe na kupona.

2 WAKORINTHO 4:4
Ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
 
WAROMA wakijilinda tuu oooh! ma jesuit, wanatwala Dunia!! sasa km hkn mtu wa kulinda watu tufanyeje sasa? amini tu Mungu amewaweka kwani ho vatican wanamzidi Mungu kufanya maamuzi??

au mleta mada tufanyeje sasa!! unataka tujiue km wafuasi wa kibwetere? acheni wivu wa kishamba huo km umefukuzwa upadre shauri yako!
 
Conspiracy theories at work
 
Utumbo tupu unaongelewa kwenye huu uzi..vijana wanapoteza muda kusoma na kuamini propaganda za mashetani mitandaoni.
 
Nimejaribu kufungua hizo video naona YouTube wameziblock sijui mambo ya copyright!
 
..
 
Pwagu na Pwaguzi katika ubora wao. Yani kuna majitu majinga duniani., Hutoamini yani.
 
Acha uongo bhana shirika la Jesuit lilianzishwa miaka ya 1500 .....MUD aliishi lini?
 
Kama wao ndio walimu train vipi safari ya Mud ya kwenda mbinguni nguni kuchukua swala nako huko walimpeleka?
 

Mkuu Jesuitdon kama ni hivyo kwamba mwasisi wa imani ya kiislamu ni catholic, vipi kuhusu swala la mtume kwenda mbinguni kuchukua swala, je ni kweli au si kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…