Vatican inamiliki dunia



Na
Ona kenge huku wameshupalia Xmas ni upagani angali Huko Marekani Rais wao anasherekea..

Mkuu,Wanaoleta shida ni hawa wadogo wadogo na wenye uelewa Mdogo. Na ukweli ni kwamba hao viongozi wao huwa wanaelewa jinsi mambo yalivyo ila inabidi wakae kimya maana wakionyesha vinginevyo watakosa sadaka.


Hata siku ya Boxing day, pale Mlimani City, kwenye Hafla ya Chakula baina ya Makonda na Viongozi Wa dini,Askofu Wa Wasabato, aliwatakia watu maadhimisho ya Xmass njema na kusalimia kwa salamu ya "Tumsifu Yesu Kristo". Je,kwa mtu ambaye yeye tayari ni MTEULE kama Msabato anawezaje kutumia salamu za wapagani na kuwatakia maadhimisho ya kipagani?
 
Noma
 

Namshukuru sana Mungu kwa tukio hili la Wasabato kuonekana wakianza kuitambua Xmass. Kumbe kelele zote zile za kusema tunaadhimisha Upagani,ni WIVU tu. Wanaona wivu kwamba katika hili tuliwapiga Bao.

Video hii itakaa katika Gallery yangu na nakushukuru sana,ndugu yangu,kwa kutuwekea kumbukumbu hii hapa.
 

Namshukuru sana Mungu kwa tukio hili la Wasabato kuonekana wakianza kuitambua Xmass. Kumbe kelele zote zile za kusema tunaadhimisha Upagani,ni WIVU tu. Wanaona wivu kwamba katika hili tuliwapiga Bao.

Video hii itakaa katika Gallery yangu na nakushukuru sana,ndugu yangu,kwa kutuwekea kumbukumbu hii hapa.
 
Haya mambo bi magumu sana haya
 
"SI KILA ATAYENIJIA AKINIITA BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU"

MATHAYO 7:21-23.

"21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu."





2WAKORINTHO 11:14-15

"Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao."

MATHAYO 7:14 - 20

"Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. 15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. 18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. 19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. 20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

"NA WAENENDE KWA SHERIA(AMRI 10 ZA MUNGU) NA USHUHUDA(MATENDO ALIYOYATENDA YESU NA MANABII WAKE)"

ISAYA 8:19-20

"Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong’ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?

20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi."

USIIAMINI KILA ROHO:

1YOHANA 4:1-6 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. 4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. 5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu."

"MPENDWA NJIA YA KWENDA MBINGUNI NI NYEMBAMBA NA WAINGIAO NI WACHACHE" TAYARI "RC" IMEKUPELEKA MOTONI SABABU INA WAFUASI WENGI SANA TOFAUTI NA BIBLIA INAVYOKUELEZA.

JE HAYO MAFUNGU YOTE YANAFUATWA NA "RC"???

JITATHMINI KWANZA NDIPO UJE NA UTHIBITISHO KUWA "RC" NI DHEHEBU LA MUNGU LAKINI KWA 100% "RC" NI WAKALA WA LUCIFER(SHETANI) SABABU NDIYO WATAOHUSIKA KATIKA KUTIMIZA UNABII.

SOMA DANIEL 7 & UFUNUO 14. ILI UACHE KUMSIFIA HUYO mungu WAKO WA KUZIMU HUYO(shetani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DHEHEBU LA ROMAN CATHOLIC NI LA KIPAGANI KWA 99.9%. TOKANA NA SABABU ZIFUATAZO:

1. Nguruwe/Kitimoto twende kazi.

2. Kuabudu sanamu wala siyo Mungu aliye hai, twende kazi.

3. Pombe/ulevi, twende kazi.

4. Sikukuu zote ambazo hazijahalalishwa katika Biblia, twende kazi.

5. Sala za Wafu wasiojua chochote kinachoendelea kwa walio hai, twende kazi

6. Kutoa misamaha kwa Binadamu hai hata kwa Marehemu toka kwa kiongozi wao wa dini nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kutoa hiyo misamaha, twende kazi.

7. Kutengua agizo la kuto-edit(kuongeza wala kupunguza neno lolote katika Biblia "UFUNUO 22:18-21" tena sasa hivi wanakuja na Biblia yao feki "The Bible 2000 years" twende kazi.

8. Wakala mkuu wa Lucifer(shetani/ibilisi na baba wa uwongo) kujiita Baba mtakatifu wa dunia nzima nakati Biblia inatambua uwepo wa Baba m1 tu ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo nchi, twende kazi.

9. Upagani wa utatu mtakatifu wa miungu watu(Nimrod, Semiras na Tammuz) huku wakijificha katika kivuli cha uhalali wa YEHOVA(Mungu Baba), Yesu(Mungu Mwana) na Roho Mtakatifu(nguvu ya Mungu), twende kazi.

10. Kuibadili siku takatifu ya Mungu ya 7(Sabato/Jumamosi) kwa kuiweka kinyume kwa siku ya kwanza ya juma(Jumapili), twende kazi.

11. "Usiwe na miungu mingine ila mimi" wao wanahalalisha rozali wakiiabudu na kuitumikia, twende kazi.

DINI/DHEHEBU GANI INARUHUSU KILA KITU NAKATI MUNGU NI WA UTARATIBU NDIYOMAANA ALITUPATIA SHERIA TUZITII???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hilo nishaliona hata huku mitaani wanadai kanisa limechanganya ukristo na upagani halafu wanaita ni uasherati , ukahaba na uzinzi nikaamua kuhoji yafuatayo kupitia huu uzi hapa chini
https://www.jamiiforums.com/threads...stmas-bonus-promo-zawadi-na-n-k.1527482/watch

hata kuna chaneli yao moja ilijihusisha na mambo ya xmas hadi movie walicheza.
 

Hilo umeligundua leo? Ukiondoa dini za wayahudi, dini na mathehebu yote ya kikristo na uislam umetokana na Ukatholic ndo maana duniani hapa Rome wakiamua tu wanakuondoa madarakani, Roman Catholic ni zaidi ya dhehebu la dini. ni hii inatoka na wao kuwa na waumini zadi ya 1.3Bilion duniani. Kuna watu wanajiita walokole wanapambana kuung'oa ukatholic lakini wanaonekana kushindwa maarifa.
 
Walokole mill 20 wauondoe Ukatoliki Tethehe Maisha.
Ila wakatoliki wamemchagua Mjesuit ambaye ana mipango kabambe ya ku unite Lutheran na wamesha saini si mda mtashangaa
 
Walokole mill 20 wauondoe Ukatoliki Tethehe Maisha.
Ila wakatoliki wamemchagua Mjesuit ambaye ana mipango kabambe ya ku unite Lutheran na wamesha saini si mda mtashangaa

Hilo ni suala la muda tu, abaki muanglikana na kuna muda ukifika atasalimu amri, mapambano ya walokole na wasabatho dhidi ya ukatholic yanafanyika katika nchi haswa za watu maskini kama Afrika na Amerika.
 
Si kwaafundisho hayo ya freemason Maa Hellen G White by the way chunguzen sana inawezekana Ulokole umeanzishwa kwa mpango maaluu na majesuit kwa mama yeu na wakina Smith wa Mormon kuweni makini one day mtashangaa
 
Ulichokiongea ni sahihi lakin jamaa hawajui wanakaririshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…