Umejaliwa uwezo wa kusoma ila ukanyimwa uwezo wa kuelewa unachosoma na kuandika!Loyola
Yeye ndiye aliyetunga katiba ya chama hicho
mwaka 1540. Nukuu muhimu tunayoweza
kuichukua kutoka kwa Ignatius wa Loyola ni hii:
“That we may be altogether of the same
mind and in conformity with the Church herself, if she shall have defined anything to be black which appears to our eyes to be white, we ought in like manner to pronounce it to be black. For we must undoubtingly believe, that the Spirit of our Lord Jesus Christ, and the Spirit of the Orthodox Church His
Spouse, by which Spirit we are governed and directed to Salvation, is the same.” [Ignatius Loyola, Spiritual Exercises, Rule 13
Henry Bettenson, ed.,
Documents of the Christian
Church,
2nd ed. (London: Oxford
University Press, 1963), p.
260.]
“Kwamba wote tuwe na nia moja na kukubaliana na kanisa, kama limetafsiri
kitu chochote kuwa ni cheusi wakati kinaonekana machoni mwetu kuwa ni
cheupe, tunapaswa kukitangaza kuwa ni
cheusi. Maana bila shaka tunapaswa kuamini,
kwamba roho wa bwana wetu Yesu kristo,
na roho wa kanisa la Orthodox ndugu yake,
roho ambaye anatuongoza katika
wokovu, ni yule yule.” [Ignatius Loyola,
Spiritual Exercises, Rule 13
Henry Bettenson, ed.,
Documents of the Christian
Church, 2nd ed. (London:
Oxford
University Press, 1963), p.
260.]
Kwa mujibu wa Ignatius
Loyola, kanisa Katoliki na
kanisa la Orthodox ni
ndugu
mmoja na wote
wanaongozwa na roho
mmoja. Lakini pia
tunaweza kujiuliza kwa
nini
Loyola atumie rangi
nyeusi hata kama ni
nyeupe? Jibu ni kwamba
alikuwa anaongelea
kiongozi mkuu wa chama
hicho cha Jesuits ambaye
anaitwa ‘black Pope’ yaani
Papa
mweusi. Lakini pia Loyola
aliweka kanuni 13 za
kuongoza chama cha
Jesuits. Katika
sura zitakazofuatia
tutaona jinsi Illuminati
wanavyoabudu namba
ikiwepo namba 13 na
kuna uhusiano mkuwa
sana kati ya Jesuits,
Illuminati na Freemasons,
wote wakiwa ni
watumishi wa mnyama
wa namba 666.
Ni utaratibu gani
unafanyika wakati mtu
anapotaka kuwa
mwanachama wa “Jesuit
Society?” Kama
tutakavyoona, utaratibu
wa kujiunga na chama cha
Jesuits unafanana na
utaratibu wa kujiunga na
freemason. Cha ajabu ni
kwamba baadhi ya
madhehebu na
makanisa yanafuata
utaratibu huo wakati
waumini, na hasa viongozi
kama watawa,
wachugaji, maaskofu nk
wanapopewa nafasi hizo
kwa mara ya kwanza japo
Biblia
inakataza wazi kutumia
utaratibu kama huo.
Wakati mtu anapotaka
kujiunga na chama cha
Jesuits anatakiwa, pamoja
na mambo
mengine, kutoa viapo vya
utii katika chama hicho,
kiongozi wa chama hicho
na kiongozi
wa kanisa. Kabla ya
kusoma viapo vya Jesuits,
hebu tuiulize Biblia
kuhusu viapo.
“Tena mmesikia watu wa
kale walivyoambiwa,
Usiape uongo, ila mtimizie
Bwana
nyapo zako; lakini mimi
nawaambia, Usiape
kabisa; hata kwa mbingu,
kwa maana
ndicho kiti cha enzi cha
Mungu; wala kwa nchi,
kwa maana ndiyo pa
kuweka miguu
yake…wala usiape kwa
kichwa chako, maana
huwezi kufanya unywele
mmoja kuwa
mweupe au
mweusi…..kwa kuwa
yazidiyo hayo yatoka kwa
yule mwovu.” Mathayo
5:33-37. “Lakini zaidi ya
yote, ndugu zangu,
msiape….msije
mkaangukia hukumu.”
Yakobo 5:12.
Biblia inakataza kuapa
kwa aina yoyote ile, hivyo
kama Jesuits wanaapa
wanafanya hivyo kwa sababu wako
kinyume na Biblia. Hata hivyo yapo madhehebu mengi yaliyo na utaratibu wa kuapisha viongozi wao ikiwa ni wachungaji, maaskofu, mapadri kila wanapowekwa wakfu kwa ajili ya kazi za kanisa husika. Chunguza ndani ya kanisa lako huenda likawa moja ya wahusika wa viapo.
. . .
SASA WEWE NGUMBALU UNAWEZA KUWA JESUIT WEWE?
MPAKA SASA UNASIFA MOJA TU YA KUTETEA MAFUNDISHO YA UONGO YA KANISA KUWA YAKWELI
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, hebu tulia usome kwa utulivu maana ya ulichoandika uone kama inawiana na hoja unayoimaanisha ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app