Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Ni kweli mkuu may be hakuna uhalisia au linaweza kuwa viceversal but si unajua wadada tunapenda majina matam matam[emoji23] White Cute haya majina mnayojiita huwa hayana uhalisia na mtu alivyo, sawa ngoja waje.
Ooh that's right My potato, cassava.Ni kweli mkuu may be hakuna uhalisia au linaweza kuwa viceversal but si unajua wadada tunapenda majina matam matam
pamojaaaaOoh that's right My potato, cassava.
Weka pichaHabari za jioni wapendwa..
Jamani wadada humu hakuna linaloshindikana naimani ..shida yangu kubwa nataka mshono amaizing ambao utanitoa chicha wa usiku nahitaji na ushauri wa aina ya material ya kitambaa ambayo nitatumia kwani nataka kuhudhuria kisherehe fulani so inataka kutoka kifassionaL zaidi.
Hivyo humu naimani mpo wajuvi wa mambo.nahitaji ushauri wa mshono wa kisasa utakaonipendeza na ushauri pia;
WASIFU WANGU
Ni kibonge kiasi .
si mfupi sana na wala si mrefu yahn nipo normali tu
ni mweupe (naimani itasaidia katika kunishauri rangi ya nguo na kiatu cha aina gani au rangi gani)
KARIBUNI
Picha ya niniWeka picha
Ebu nitajie account mbili tatu ambazo naweza nikapata mishono bomba ya kisadaIngia insta page ziko nyingi sana unajichagulia mtindo unapeleka kwa fundi mzur anakushonea exactly the same
@fifisugardesigns @malikadesigner @elisha.red.lebel @kymirwa @kikifashions @evecollectionsEbu nitajie account mbili tatu ambazo naweza nikapata mishono bomba ya kisada
Asante mkuu@fifisugardesigns @malikadesigner @elisha.red.lebel @kymirwa @kikifashions @evecollections