Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Habari za jioni wapendwa..
Jamani wadada humu hakuna linaloshindikana naimani ..shida yangu kubwa nataka mshono amaizing ambao utanitoa chicha wa usiku nahitaji na ushauri wa aina ya material ya kitambaa ambayo nitatumia kwani nataka kuhudhuria kisherehe fulani so inataka kutoka kifassionaL zaidi.
Hivyo humu naimani mpo wajuvi wa mambo.nahitaji ushauri wa mshono wa kisasa utakaonipendeza na ushauri pia;
WASIFU WANGU
Ni kibonge kiasi .
si mfupi sana na wala si mrefu yahn nipo normali tu
ni mweupe (naimani itasaidia katika kunishauri rangi ya nguo na kiatu cha aina gani au rangi gani)
KARIBUNI