Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Inajulikana mama aliyetakasika,bikra Maria ambaye ni mama yake Yesu alayhi sallaam alivaa kwa heshima sana na mapokezi ya mavazi yake yaliyotufikia kwa njia ya mchoro inamuonesha hivyo.
Masista wa kikatoliki wanajaribu sana kumuiga mama yetu huyo.Waislamu daima wametambua hilo na kuendelea kuvaa na kupendeza kwa kuvaa hijabu.
Miongoni mwa maraisi walio madarakani wanaovaa kama Bikra Maria ni raisi wa Tanzania wa sasa,dokta Samia Suluhu Hassan ambaye kwa vazi hilo anapata heshima zaidi inayokwenda pamoja na cheo chake