To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣🙌Ila nyie machawa utukufu mnaompa Samia, ni kufuru.
Leo anafananishwa na mama wa Mungu! Bikira Maria!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🙌Ila nyie machawa utukufu mnaompa Samia, ni kufuru.
Leo anafananishwa na mama wa Mungu! Bikira Maria!.
Masister na mapadri wote ni wayahudi?
wala sita shangaa kusikia Bikra maria kaiga mavazi ya mheshimiwa mtukufu rais kipenzi cha kila mtanzania!Ila nyie machawa utukufu mnaompa Samia, ni kufuru.
Leo anafananishwa na mama wa Mungu! Bikira Maria!.
Ukristo umevamiwa sana na uyahudi kiasi kwamba wamebadilishiwa maandiko na hata kufukuzwa Palestina.Cha ajabu na chakuchekesha ilitegemewa wakristo wanaojinasibu kumuheshimu maria mtakatifu hawamuigi mavazi yake ya stara na heshima, ila wakimuona muislam Mwanamke kavaa kiheshima wanamuita gaidi na kumkebei, dini hizi kweli vichekesho!