Cha ajabu na chakuchekesha ilitegemewa wakristo wanaojinasibu kumuheshimu maria mtakatifu hawamuigi mavazi yake ya stara na heshima, ila wakimuona muislam Mwanamke kavaa kiheshima wanamuita gaidi na kumkebei, dini hizi kweli vichekesho!
Ukristo umevamiwa sana na uyahudi kiasi kwamba wamebadilishiwa maandiko na hata kufukuzwa Palestina.
Inachekekesha sana kuwa makao makuu ya ukristo yako Italia na kundi jengine linaongozwa na mayahudi ndani ya Marekani wanaojitanua Afrika kila siku kwa jina la Ulokole.