Vazi hili linamwakilisha Mtanzania kivipi?

Vazi hili linamwakilisha Mtanzania kivipi?

Simlaumu hata kidogo. Huo ni ubunifu wake. Watanzania tumekuwa na mavazi ya kila aina hapo zamani za kale. Historia inasema tumevaa magome ya miti, majani, ngozi za wanyama, kaniki n.k. Hatuna vazi rasmi la taifa. Si vibaya kuendelea kuwa creative mpaka tufanikiwe tupate na kukubaliana vazi la taifa liwe lipi. Kama ni kaniki, mgolole, khanga au vitenge basi tukubaliane na kupata national patterns na mvao ambao utatu-identify Watanzania.


Bora wewe Mkuu umenena neno umeeleweka.

Mtu anatoa povu akiiambiwa to a vazi la taifa anabaki machooooo
 
Back
Top Bottom