Vazi la Ajabu Katika Nchi ya Watakatifu. Anayeona Mfalme yu Uchi ni mwenye Dhambi.

Vazi la Ajabu Katika Nchi ya Watakatifu. Anayeona Mfalme yu Uchi ni mwenye Dhambi.

Blaza hiyo story umeedit story ya "Abdul and other stories "

Vitabu flani vya Oxford..vilikua series book one hadi book six kama sikosei.

Ila ile kule Abdul alitaka kumpiga mfalme kwamba alipe dhahabu kwa hilo vazi linaloonekana na watakatifu pekee.

Aliemuokoa mfalme ni mke wake, alimwambia kama kweli una vazi weka hili jiwe kwenye mfuko wa hilo vazi. Likianguka chini hauna vazi, likikaa kwenye mfuko wa hilo vazi lisiloonekana, kweli utakua umevaa hilo vazi lisiloonekana na wenye dhambi.

Mfalme ikabidi awe mpole, jiwe lilidondoka, hata yeye alijua hana vazi ila ilibidi aseme ana vazi kuonyesha kwamba ni mtakatifu.
 
Back
Top Bottom