Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

Hahahahaha sasa Matola ndio nini hivi hujui siku hizi mie rafiki yangu invisible,ntakuchongeaa
We uliambiwa uweke picha yako hujaweka acha tumjadili domo

Invisible ni dogo kwangu wala huwezi kunichongea chochote. kwanza mimi nilikataa kuwa moderator ili niwe huru.
 
Last edited by a moderator:
Mi nashindwa hata kuelewa wanakata za kibongo lkn za America wanapiga na kuzirusha live.

Hapa ndio ninapowashangaa hawa Wabongo wanaojiita Basata Why wasipige makufuru kupigwa video za Mbele ambazo hawa vijana wetu mitaan ndio wanafanya......WTF...!!!!!????

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
 
Dully alihojiwa aliongea pumba tupu. Eti wasanii wanaongeza pato la Taifa kwa hiyo nchi isiwabane na video kama hizo ndo zinafanya wawe stars. Anasema nchi yake badala imsupport sasa ndo ina mdidimiza kimaendeo.
Kwangu nimeona hana lolote yeye afanye mazuri then support ataipata.

Huyu ---- nae alishindwa kujitetea vzur juu ya kitu alichoulizwa...!!!!

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
 
Km ulaya ndo wanavofanya eeeenhee?ss Diamond hiyo .... The police vp tena hajui wale niggaz state wana hasira na police ss yy ana tatizo gn sema na mdada nae kahamasisha sn km video ya chumbani.
 
Dully alihojiwa aliongea pumba tupu. Eti wasanii wanaongeza pato la Taifa kwa hiyo nchi isiwabane na video kama hizo ndo zinafanya wawe stars. Anasema nchi yake badala imsupport sasa ndo ina mdidimiza kimaendeo.
Kwangu nimeona hana lolote yeye afanye mazuri then support ataipata.

Usipoteze nguvu bure Dully ni mzaramo............kama Mbwiga.
 
Dully alihojiwa aliongea pumba tupu. Eti wasanii wanaongeza pato la Taifa kwa hiyo nchi isiwabane na video kama hizo ndo zinafanya wawe stars. Anasema nchi yake badala imsupport sasa ndo ina mdidimiza kimaendeo.
Kwangu nimeona hana lolote yeye afanye mazuri then support ataipata.

Ni support gani zaidi wanahitaji hawa wanabongofleva ?.

We ngoja yule mzee wa DONGOBESH aingie madarakani........kumuelezea tu hiyo ishu ya bongo fleva utahitaji siku nzima ndio aelewe unaongea nini..........au labda G Hando aongee naye kinyumbani.....na hapo ndio mtajua tafsiri sahihi ya neno support.
 
kama wameifungia hiyo nyimbo, nitashangaa sana kama watiacha nyimbo moja hivi inaitwa "ujuzi"
 
BASATA imekuwa macho sasa...hizi tabia zitaanza kupungua tu...polepole ndio mwendo
 
Back
Top Bottom